“Naomba niwatoe wasiwasi Watanzania wote kwamba maelekezo ya Rais Magufuli ni kwamba hakuna Mtanzania ambaye simu yake itazuiwa kutumika eti kwa sababu hana kitambulisho cha Taifa na hivyo hajasajili laini yake” Kauli iliyotolewa Bungeni na Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola.
TAZAMA NGUVU AINA NNE ZA FFU “MOTO UMEANZA, ENJOY MABOMU” “FANYA FUJO UONE”