Hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo January 5, 2018 imezungumzia hali ya Mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombalemwiru aliyelazwa hospitalini hapo akipatiwa matibabu.
Afisa Uhusiano wa Muhimbili John Steven ameongea na AyoTv na kuelezea hali ya Kingunge.