Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu hali za Watanzania walioko nchini Ukraine na hatua zinazoendelea kuchukuliwa.
Kutokana na hali ya Usalama kuendelea kuzorota nchini Ukraine, Serikali inaendelea kuchukua hatua za haraka ili Watanzania takribani 300 waliopo nchini humo kuondoka na kuingia katika nchi za Poland na Romania ambako kuna utulivu hatua hii itatoa fursa kuwawezesha raia wetu kurejea nchini kwa Usalama.
Kwa stori unaweza ukabonyeza play video hii ili kufahamu zaidi taarifa kamili
RAIS MSTAAFU AINGIA VITANI, AMPA VITISHO PUTIN “TUTAMPELEKA KUZIMU”