Leo April 30, 2018 Afisa Tarafa wa Themi, Felician Mutahengerwa amepiga marufuku akina mama wanaouza vyakula kwenye ndoo pamoja na matunda yanayomenywa kutokana kuwepo kwa mazingira hatarishi yanayoweza kusababisha magonjwa.
Hatua imesababisha akina Mama hao ambao ni wafanyabiashara wa chakula kuandamana mpaka ofisi ya Mkuu wa Wilaya Arusha kueleza kilio chao.
BREAKING: Mahakama yaamuru Hans Poppe wa Simba SC akamatwe