Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Tarime Lucas Ngoto, Ameagiza Wenyeviti wa mitaa kwenye mitaa 51 Inayoongozwa na CHADEMA Ku-left kwenye Group la WhatsApp linaloongozwa na Mkuu wa Kitengo Upelelezi wa Tarime RCO, ni Baada ya kuwa na mashaka na Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Tarime ambaye ndio Adimin wa hilo Group.