Leo March 13, 2020 Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche “Mimi ni mfungwa wa kisiasa na 302, mimi nilijiandaa kufungwa na si kupigwa faini, nilikuwa sawasawa na sitapigia mtu yeyote magoti kwa kitisho cha gereza au kuniua kwa sababu yale ninayoyapigania, ninayaamini”.