Wiki chache zilizopita vyombo vingi vya habari viliripoti taarifa ya mtoto anayekadiriwa kuwa na mwaka mmoja kuchinjwa maeneo ya shule ya Sekondari Loyola Jijini Dar es salaam.
Timu ya LeoTena imefika nyumbani kwa bibi ambaye alikuwa akiishi na mtoto huyo maeneo ya Kigogo, kazungumzia mkasa wote ulivyokuwa… anasema alishangazwa na kitendo hicho kkwa kuwa hawakuwa na ugomvi kati ya baba na mama wa mtoto huyo.
Lakini majirani wamedai wazazi hao hao walikuwa na ugomvi mkubwa kabla ya kuchinjwa kwa mtoto huyo, ugomvi huo ulifanya hata mama wa mtoto huyo nae kutaka kuuawa kabla ya mtoto wake, kisa ilikuwa ni madai kwamba mwanamke huyo ana uhusiano na mtu mwingine.
Isikilize Stori yote hapa wanavyoongea majirani na bibi wa mtoto huyo.
Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.