Kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Geah Habib akiwa maeneo ya Kiwalani jijini Dar es salaam, amekutana na stori ya dada na kaka waliopigana kisa kikiwa ni Kaka kudai dada yake akiwa na mumewe chumbani wamekuwa wakitoa kelele za mapenzi.
Ndugu hao wawili wanaishi nyumba moja waliyoachiwa na baba yao mzazi ambaye ni marehemu. Familia hiyo imeingia kwenye ugomvi baada ya dada kuolewa na kuendelea kuishi kwenye nyumba hiyo na mumewe.
>>>’Mfano wewe mtoto wako kaolewa na mwanaume inabidi akae pale au aende katika mji wake…?’:- kaka
>>Nimekaa hapa tangu baba yangu akiwa hai, huyu mimi namfunga, mi nipige kelele kwani sina akili? Baba angu mzazi ndiye alitakiwa kusema kama alikua anakereka!!! na hivi naenda zangu polisi.”;-Dada
Unaweza kusikiliza full stori kwa kubonyeza Play hapa chini.
ULIKOSA UFAFANUZI KUHUSU VIPIMO VYA MATETEMEKO YA ARDHI VILIVYOIBIWA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI