Isha Mashauzi na Grace Matata wamesikika kwenye Hekaheka ya leo…kila mmoja anamiliki Bendi yake mwenyewe ambapo Isha anamiliki Mashauzi Classic na Grace nae anamiliki Live Band.
Grace anasema kwenye Live Band amekuwa akikabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo vifaa na waimbaji wazuri pamoja na kufanya mzoezi ya kutoshanasema pia hajawahi kutoa CD tangu aingie kwenye kazi hito na nyimbo zake tote zimekuwa zikipatikana kupitia online.
Isha Mashauzi naye amesema moja ya mafanikio makubwa kwake ni kujiamini sana katika kazi zake kwa kuwa amekua akijikubali sana..tayari ametoa nyimbo yake mpya inayoitwa dancer..anaomba mashabiki wake waipokee.
Wasikilize hapa mtu wangu….
Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.