Kwenye idara ya Hekaheka imekua ikipata taarifa nyingi za matukio makubwa ambayo wanatendewa watoto wadogo pamoja na wasichana wa kazi,hii ni nyingine tena ambayo inahusu mtoto asiyezidi miezi 10 ambaye ametelekezwa nje ya Geti.
87.8 Clouds Fm inasikika ukiwa Mbeya.
Bonyeza play kusikiliza.