Kuna baadhi ya vitu ukisikia unaweza kucheka lakini ndiyo maisha yanayotokea mtaani hasa uswahilini,unaambiwa hawa wamejikusanya wamevaa na sare kabisa kwa ajili ya kwenda kumsuta mtu mmoja.
Kama haitoshi inshu ni kwamba wamekodi hadi matarumbeta wamewalipa kwa ajili ya kwenda kumsuta tu mtu mmoja,sikiliza kupitia Hekaheka ya July 16.
88.5 Clouds Fm inasikika ukiwa Morogoro.
Bonyeza play kusikiliza.