Hii imetokea sehemu moja inaitwa Ndanda ambayo iko wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara na inamhusu Muuguzi wa Hospital ya Ndanda,huyu inasemekana ana tabia za wizi mpaka miongoni mwa wauguzi wenzake ameamua kutoa taarifa na hii ni baada ya kufumwa,89.8 Clouds Fm unasikiliza ukiwa Singida.
Bonyeza play kusikiliza.