Kikawaida hii ni stori kubwa kusikika mama amejifungua watoto 4 kwa pamoja yaani mapacha 4 ambao wamezaliwa pamoja ingawa mara chache tumewahi kuwasikia wengine pia wakijifungua idadi kama hii au zaidi,hii imetokea kwa msichana wa umri wa miaka 22 kujifungua mapacha hawa 4,kwa sasa bado yuko hospitali ya Muhimbili lakini pia kwa bahati mbaya mtoto mmoja kafariki wamebaki 3.
Anahitaji msaada kama utakavyomsikia anaongea na Gea Habib,baba wa watoto hao ni mvuvi wa huko Zanzibar.
88.1 Clouds Fm inasikika ukiwa Mwanza.
Bonyeza play kusikiliza.