Ishu hii imetokea Mwananyamala 88.5 Dar es salaam ni kuhusu mama anayesemekana ana uwezo kidogo kuwasimanga wale kipato cha chini ambao wanajishughulisha na biashara ndogo ndogo mtaani kitu kilichowapelekea wakina mama mtaani kuamua kuandamana hadi kwenye uongozi wa mtaa.