Ingawa mke huyo amekataa kutaja sababu za kumkimbia mume wake na kuamua kuanzisha maisha yake binafsi lakini Mume wake kwa mujibu wa mashuhuda waliofanikiwa kushuhudia tukio hili wamesema kuwa mume bado anampenda mke wake.
Kutokana na visa ambavyo amevifanya mke wake uamuzi wa jamaa aliyochukua ni kumpa talaka,nakuunganisha na Gea Habib usikilize kila kitu kilichotokea kupitia Hekaheka ya leo.
96.5 Clouds Fm inasikika ukiwa Geita.
Bonyeza play kusikiliza.