Leo October 6 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM wametuletea hii ya kijana kumpiga na kumjeruhi mpenzi wake na kupost picha za utupu za mpenzi wake chanzo kikielezwa ni wivu wa mapenzi.
>>>’Damu nyingi sana zikaanza kunimwagika lakini hakuona huruma akaendeleza kunipiga, akawa ananipigiza kwenye ukuta mpaka nikawa nasikia kizunguzungu’
>>>’Akaniambia vua nguo zote kaa hapo kwenye kochi, nikawa nimekaa akaanza kunipiga picha akasema anapost facebook, sikuwa na cha kufanya kwa sababu hakukuwa na mtu wa kunisaidia’

Kupata full stori unaweza kubonyeza play hapa chini
ULIKOSA HII YA KUNYANG’ANYANA WANAWAKE KULIZAA JINA MTWARA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI