July 11 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM, Geah Habib amekutana na hii ya Dada anayeishi na mumewe kwa muda wa miaka nane sasa huku akiwa ni muathirika na mumewe hajaathirika, kama hukupata time ya kuisikiliza hii usijali millardayo.com imekurekodia full stori kutoka kwenye Hekaheka ya leo.
Dada alipopata ujauzito mara ya kwanza ndio alipogundulika ameathirika na virusi vya UKIMWI, mumewe alipoambiwa akapime alikataa na baada ya muda akapata ujauzito wa pili na kujifungua mtoto, baada ya kumshawishi mumewe kwa takribani miaka nane ili wakapime akakubaliu na matokeo yakaonyesha mume hajaathirika.
Mume amemwambia anampa miaka mitatu au minne ili mtoto mdogo akue ili aweze kuoa mwanamke mwingine hivyo hatoweza tena kuendelea na yeye. unaweza kuisikiliza full story hapa kwa kubonyeza hapa chini, ukishaisikiliza usisahau kuacha comment yako.
Kupata full story bonyeza play hapa chini
ULIKOSA UHARIBIFU KWENYE DARAJA LA KIGAMBONI BAADA YA LORI KUPATA AJALI JANA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI