Leo February 27, 2018 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe amezungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam kwa mara ya kwanza toka uchaguzi wa marudio kwenye majimbo ya Kinondoni na Siha ufanyike mwezi huu.
Katika mkutano huo Mbowe amesema kuwa hukumu aliyopewa Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Emmanuel Masonga ni hukumu ya kisisasa.
MBOWE NA VIONGOZI WENGINE WA CHADEMA WALIVYOFIKA POLISI KURIPOTI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA