Leo March 6, 2018 Mbunge wa Nzega Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Hussein Bashe ameandika ujumbe akisema amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu inayokusudia kuwasilisha hoja binafsi ya kuunda Kamati teule ya Bunge kuchunguza matukio mbalimbali yanaonesha kutishia umoja, usalama, na mshikamano wa Taifa.
Ujumbe huo wa Bashe haukuishia hapo Mbunge Arusha Mjini Godbless Lema aliamua kumjibu….>>>> Bonyeza PLAY hapa chini kutazama
BARUA YA HUSSEIN BASHE KWA BUNGE “UMOJA, USALAMA WA TAIFA”, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA