Leo March 14, 2018 Viongozi wanne wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP) wakiongozwa na Msemaji wa Mtandao huo Helen Sisya, wameitika wito baada ya kutakiwa kufika kwa Mpelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kuhusu suala la kupotea kwa Mwenyekiti wao Abdul Nondo.
Viongozi hao walifika kwa DCI na kufanya mahojiano wakiwa kama mashahidi kwa takribani zaidi ya saa 8 ambapo baada ya kutoka msemaji wao ameeleza kuwa wametoa ushirikiano huo kwa kuamini kuwa ni suala la kisheria.
MTEGO WA TAKUKURU WAMNASA AFISA WA SERIKALI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA
HUDUMA YA KWANZA YA UOKOAJI KWA HELIKOPTA MLIMA KILIMANAJRO