Hivi uliwahi kujiuliza inaweza kutokea Mfungwa mwanamke akapata ujauzito akiwa Gerezani, pia mwanamke mjauzito akishtakiwa ama kuhukumiwa akiwa mjamzito anaweza kupokelewa Magereza ama lah.
Leo January 30, 2018 Mrakibu wa Magereza, Amina Kavirondo anaelezea kuhusu wafungwa wanawake waliopo katika hatua ya ujauzito na kama inawezekana mfungwa kupata ujauzito akiwa gerezani.
SHULE 10 ZILIZOFANYA VIZURI KIDATO CHA NNE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA
SHULE 10 ZILIZOFANYA VIBAYA KIDATO CHA NNE 2017, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA