Bado headlines kutoka mkoani Kilimanjaro zinazomhusu Mtoto Antony Petro zinaendelea kushika kasi ambapo leo April 10, 2018 nakusogezea Mfadhili aliyejitolea kumsomesha akiongea na Walimu, Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Aman Vumwe jinsi alivyoanza kumtafuta Antony.
Isaka Msuya ni Meneja wa shule ya Amani Vumwe bonyeza PLAY hapa chini kumtazama akielezea atakavyosimamia elimu ya Antony kuanzia Msingi hadi Elimu ya Sekondari.