February 15, 2018 kulitokea tukio la shambulio la risasi nchini Marekani ambalo lilifanywa na mwanafunzi wa miaka 19, ambalo wanafunzi 17 wa shule ya sekondari Marjory Stoneman Douglas High School iliyoko Parkland, Florida waliuawa kwa kupigwa risasi na mwanafunzi mwenzao.
Kutokana na matukio ya aina hiyo kutokea mashuleni mara kwa mara nchini humo watu na wanaharakati mbalimbali wamepaza sauti zao kushinikiza kufanyika kwa mabadiliko ya sheria ya umiliki wa silaha za moto kwa wananchi wa nchi hiyo ili kupunguza matukio ya mauaji ya silaha.
Leo March 15, 2018 mamia ya wanafunzi nchini humo kwenye majimbo tofauti tofauti wameondoka madarasani kwao kuandamana ili kupinga unyanyasaji wa silaha ambao umegharimu maisha ya wanafunzi wenzao.
“Tunapata magonjwa ya ajabu, saivi mpaka tutumie dawa za vijana”