Baada ya kumalizika kwa mchezo wa 16 bora wa AFCON 2019 kati ya Misri wenyeji dhidi ya Afrika Kusini walioibuka na ushindi wa goli 1-0, AyoTV ilipata nafasi ya kuongea na mchambuzi wa soka mwalimu Alex Kashasha ambaye alikuwa sehemu ya waandishi waliohudhuria na kutazama mchezo huo, huu ndio uchambuzi wake.
VIDEO: Kinachomfanya Bongo Zozo asite kuomba uraia wa TZ, Maisha yake?