Leo February 26, 2018 Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ameiingia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kwa ajili ya kusikiliza hukumu ya kesi inayomkabili ya kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli itakayojulikana leo.
Mbali ya Sugu mshtakiwa mwingine ni katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wanakabiliwa na kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya.
Habari na Updates kutoka Jijini Mbeya endelea kukaa karibu na AyoTV kwa Ku-SUBSCRIBES katika Channel yetu ya Youtube kwa jina la ‘Millard Ayo’ kwa kubonyeza HAPA ,kaa karibu na Ukurasa wa Twitter wa Millardayo_ Instagram Millardayo, Facebook Page ni Millard Ayo.
BREAKING: CHADEMA WAZUNGUMZIA MAUAJI YA DIWANI WA KATA YA NAMALA