Baada ya taarifa iliyoripotiwa na vyombo vya habari kuhusu mamlaka ya viwanja vya ndege nchini kutarajia kukusanya BILIONI 134 kupitia viwanja vyake kwa mwaka wa fedha 2018/19, AyoTV na millardayo.com imempata Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAA, Richard Mayongela ambapo ametoa ufafanuzi kuhusu tozo hizo.
MAGAZETI LIVE: CAG aibua watumishi hewa, Harusi ya Alikiba yatikisa Afrika Mashariki