Leo February 20, 2018 Mkuu wa wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Rehema Madusa ameliagiaza Jeshi la Polisi kuwakamata Wadada wote wanaovaa nguo nusu utupu na wanaofanya biashara ya kuuza miili yao ili wakasaidie ujenzi wa nyumba za jeshi la Polisi.
DC Madusa amesema wale wote watakaomatwa adhabu yao itakuwa kufyatua tofali zitakazosaidia katika ujenzi wa nyumba za Askari polisi kwa kuwa kuna changamoto kubwa ya makazi ya Askari.
UTEUZI ULIOFANYWA NA RAIS MAGUFULI LEO FEBRUARY 19, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA