Kwenye hesabu ya #Instagram wiki hii… hizi ndio picha 17 bora za wasanii na matukio! (Pichaz).
Share
3 Min Read
SHARE
Wiki hii kwenye matukio ya picha Instagram, Kanye West alionekana na Vic Mensakwenye tamasha la Summer Ends Music Festival, Nas alionekana akipokea tuzo kutoka Chuo cha Havard, rapper Rick Ross alionekana akispend time na mchuma wake… wengine kama P Diddy walionekana wakila good life kwa kubadilisha ndege binafsi, Meek Mill na mpenzi wake Nicki Minajwalionekana wenye furaha wakiwa pamoja kwenye matukio mbalimbali.
Rapper Wale.
Inawezekana baadhi ya mastaa niliowataja hapo juu unawafuatilia kwenye Instagram… lakini kama hupati time ya kutosha ya kufuatilia matukio yao mbalimbali, karibu ufidie kwa kuzicheki hizi picha 17 za wasanii wa HipHopMarekanina matukio yao wiki hii kwenye Instagram.
Kanye West & Vic Mensa (Caption: Summer Ends Music Festival ???? @jakeosmun).Young Thug & Jaden Smith (Caption:YOUNG THUGS WORDS What you say LIL BRO?? @christiaingrey Photo by @beelbe)Rapper & Producer Nas. (Caption: Understand the Cipher #Havard)Meek Mill na mpenzi wake Nicki Minaj. Drake.Rick Ross na mchumba wake (Caption: This could be yall, but yall watching us. TheRoberts)50 Cent & Usher (Caption: I ran into USHER tonight we had a chance to kick it a little bit. EFFENVODKA FRIGO SMSAUDIO)Rapper Dej Loaf (Caption: Bae Text Me.)Rapper Future Hendrix (Caption: U do wat u want when u poppin…)Wiz Khalifa (Caption: Khalifa man and baddie.)Tyga.Meek Mill (Caption: It’s gone b a tragedy lol)Rapper Fabolous (Caption: One of the key’s to longevity is being able to weather the storms… Shot by @kodaklens CoorsLightStageSnow CLreFresh Charlotte YoungOG)P Diddy (Caption: IF I COULD DO IT YOU CAN DO IT!!! BUT YOUR GONNA HAVE TO WORK HARDER THAN A MOFO!!!!! letsgo letsgetit bluedot ciroclife HOWARD HOMECOMING! letsgo)Rapper Wale (Caption: Fxck the fame imma simple man . @orli_1st)French Montana (Caption: Swear to God will never change)Rapper 2 Chainz na mchekeshaji Martin Lawrence (Caption: Had a few laughs at the Martin Lawrence Show !!! Thanx a lot).
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM, TWITTER, FB, YOUTUBE