Kutoka nchini Kenya wanafunzi wa Shule ya Msingi Wabere katika eneo la Isiolo kulazimika kufanyia mitihani yao katika kanisa lililo karibu na shule hiyo.
Hii inaripotiwa kusababishwa na upepo mkali ambao uliezua na kubomoa madarasa yao.
Kwa mujibu wa Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Joshua Naituli, hii siyo mara ya kwanza kwa madarasa hayo kuharibiwa na upepo wakati wa mvua lakini wanashukuru kwani hakuna mwanafunzi aliyeumia.
TAKUKURU yapandisha watano kizimbani kwa Uhujumu uchumi