Mbunge wa Karagwe Innocent Bashungwa ni moja ya wabunge walioudhuria kuapishwa kwa wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki jijini Arusha December 18, 2017
Bashungwa amesema Watanzania wanayo matumaini makubwa kwa Wabunge tisa wanaoiwakilisha Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki hasa katika kuweka mbele maslahi ya Taifa na kutekeleza sera ya mambo ya nje ya nchi.
“Watanzania tunategemea Wabunge wetu kuweka maslahi ya Taifa mbele, matumaini ya Watanznaia ni kuona Wabunge hawa tisa wanatumia hii nafasi kuwezesha kufikia uchumi wa viwanda,” – Bashungwa
ALIYOYASEMA GAVANA WA NAIROBI MIKE SONKO ALIVYOINGIA TANZNIA, BONYEZA PLAYA KUTAZAMA