Katika stori ambazo zimekuwa zikichukua headline nchini Tanzania ni kuhusiana na Wabunge na Madiwani kuhama vyama vyao na kujiuzulu nafasi zao, Leo December 19, 2017 Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa amekaa mbele ya kamera ya AyoTv na kuelezea mtazamo wake juu ya wanaohamahama vyama.
“Ni utaratibu wa Siasa, watu wana hiari ya kusema nimefanya kazi hapa ngoja nikajaribu pengine, wengine wanataka kuandika historia, mimi sioni tatizo na nawatakia wanaohama heri, ila wasihame kwa kwenda kufanya fujo,” – Lowassa
EXCLUSIVE: KAULI YA LOWASA KUHUSU BABU SEYA KUACHIWA, BONYEZA PLAY KUTAZAMA