Taarifa zilizotufikia muda huu hapa Ayo TV na millardayo.com ni kwamba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuhukumu Miezi Mitano jela Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’.
Sugu amehukumiwa na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli.
Nimekuwekea Picha kumi ilivyokuwa Mahakamani baada ya Hukumu kusomwa.
BREAKING: ‘SUGU’ alivyofika Mahakamani, ukaguzi uliopo