Teknolojia inaendelea kukua ulimwenguni kote kwenye sekta mbalimbali za maendeleo, kijamii, kiuchumi, kiburudani na maeneo mengine.
Mtandao maarufu duniani wa kusikiliza muziki ‘Spotify’ umejiandaa kuzindua huduma zake nchini Afrika Kusini jambo ambalo linachukuliwa kama mwanzo wa huduma hiyo kuingia barani Afrika.
Huduma hii ambayo inapatikana kwenye smartphones pekee na inatarajiwa kusaidia kukuza na kutanua miundombinu ya mawasiliano kwa nchi za Afrika. Spotify inapatikana katika Application za Apple Inc, Amazon na Google Play Store.
Mbasha “Ninauwezo wa kwenda Mahakamani, sioni sababu ya Flora kuninyima mtoto”