Rais pekee mwanamke barani Afrika Ameenah Gurib-Fakimwa wa nchi ya Mauritania anatarajia kujiuzulu kwa hiari wiki ijayo akikwepa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na Bunge la nchi hiyo.
Rais Ameenah amefikia hatua hiyo kutokana na kukumbwa na kashfa ya rushwa.
Rais huyu anatuhumiwa kutumia kadi ya benki ambayo ni pesa za misaada ya jamii na kufanya manunuzi yake binafsi ya gharama ya maelfu ya Dola za Marekani, hatahivyo amekana tuhuma hizo na kusema alizirudisha fedha hizo zote.
Ameenah anatarajiwa kujiuzulu siku ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa kisiwa hicho cha Mauritania wiki ijayo.
Jamaa aliekatwa mapanga kisa kumshika Mbuzi wa tambilko