Headlines kuhusu issue za wafungwa walioachiwa kwa msamaha wa Rais zimezidi kuchukua nafasi, ambapo leo Mwenyekiti wa Mtaa wa Kiwalani, Rajabu Shaha anaeleza ukweli kuhusu taarifa za kuuawa kwa kijana anayeitwa Said Juma (23) maarufu kama Masekerepa aliyeachiwa kwa msamaha wa Rais lakini sio msamaha wa President Magufuli uliotoka juzi.
“Watu baada ya kusikia kelele za mwizi, wakaamka na kuja kumuona walipomuona wakasema huyu ndo tulikuwa tunamtafuta, wakampiga wakamuua, alikuwa na historia ya wizi,” – Mwenyekiti Mtaa wa Kiwalani
“SIMJUI MWANAMKE, NILIFUNGWA JELA NIKIWA NA MIAKA 12, NIMEACHIWA JUZI NA JPM NIKIWA NA MIAKA 52” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA