Leo April 29, 2018 Meneja wa Mfuko wa NSSF Arusha, Frank Maduga amesema waajiri wanawajibu wa kuwafichua wafanyakazi wapya katika maeneo ya kazi ili kuepuka faini pamoja na kufikishwa mahakamani kama ilivyokuwa awali.
“Waajiri wahahakishe wanafuatilia michango, watujulishe wanapokuwa na wafanyakazi wapya, kutosababisha penati, kutofikishana mahakamni kama watalipa kwa wakati” amesema Maduga
“Mtu wa Mkuranga Unadanganywa kwa 200 unakubali” -Dr. Mwanjelwa