Mapema wiki hii meli ambayo ina uwezo wa kuchukua abiria 6,780 iling’oa nanga Southampton kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya uzinduzi rasmi, Watu 3000 wamepata bahati kupanda meli hii kubwa duniani. Meli hiyo inayojulikana kwa jina la Harmony of the sea ilitoka Southampton siku ya jumapili katika safari yake ya kwanza ya kibiashara kabla haijarudi tena Uingereza.
Hizi ni baadhi ya picha zinazoonyesha muonekano wa Meli hiyo
HUU NDI MUONEKANO WA BARABARA ZA KARIAKOO DAR ES SALAAM BAADA YA WAMACHINGA KUONDOLEWA
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE