Mbunge wa Viti maalum CHADEMA Jesca Kishoa ni miongoni mwa Wabunge waliopata fursa ya kuchangia mapendekezo ya mapato na matumizi ya bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo amelieleza bunge kuhusu Serikali kupitia upya sheria ya kodi ya viwanda kutokana na hujma ambazo zimekuwa zikifanyika.
RC Gambo alivyomuagiza RPC amkamate Diwani wa CHADEMA ‘Milioni 501 zikapotea’