Upande wa madai umeiomba Mahakama Kuu ya Dar es Salaam kusitishwa kwa shughuli zote zinazohusiana na Uchaguzi wa TFF mpaka pale kesi ya msingi namba 305 ya Mwaka 2021 itakaposikilizwa.
Ombi hilo limewasilishwa Mawakili wa mdai ambaye ni Ally Salehe mbele ya Jaji Edwin Kakolaki.