Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu ameishauri Serikali kutokomeza tatizo la nyumba za walimu nchini ikiwa inahitaji kukuza viwango vya elimu nchini ikiwemo ufaulu kwa wanafunzi wa shule mbalimbali.
Kingu amesema…>>>“Ni wakati mwafaka sasa kwa Serikali kuamua kwa makusudi kukomesha tatizo la ukosefu wa nyumba za walimu nchi nzima, Mimi ninatoka katika jimbo la Singida Magharibi kuna maeneo unakwenda Walimu wanatembea Kilomita 7 hadi 8 hawana mahali pa kukaa, changamoto hii inapekekea utulivu wa Walimu kuwafundisha watoto wetu kuwa ndogo sana”
RC Gambo “Nilikuwa mpambe wa Lema mwanzoni mwa uchumba wake na Mkewe”