Leo June 20, 2018 Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema ameingia kwenye headlines mtaani baada ya kuonekana anatumia gari ya mwaka 1962 huku baadhi yao wakisema amefulia.
Sasa AyoTV na millardayo.com imempata na amezungumza na Lema kuhusu maneno hayo nakusema habani matumizi bali gari anayotumia ni Classic Car japo ni ya zamani.