Mbunge wa Geita Joseph Musukuma alisimama Bungeni Leo April 18, 2018 wakati wa kujadili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya katiba na sheria kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo aliishauri Serikali kuangalia namna ya kupunguza mlundikano wa wafungwa kwenye magereza bila sababu ya msingi.
Agizo la Prof Kabudi Bungeni leo April 18, 2018