Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipata huko.
#NIPASHE JPM aionya bodi ya mikopo kuwa ni lazima itoe kwa watu wenye sifa, atishia kukagua wanufaika 25,000 kwa siku moja ili ajiridhishe pic.twitter.com/Jljhk2QbLp
— millardayo (@millardayo) October 22, 2016
#MWANANCHI Ndani ya siku 20 tu za mwezi October, kuna matangazo zaidi ya 900 kwenye magazeti ya watu kupotelewa vyeti vya elimu pic.twitter.com/SrTAB5oEHd
— millardayo (@millardayo) October 22, 2016
#MWANANCHI Mkurugenzi wa jiji Arusha, Athuman Kihamia adai kudhalilishwa na Lema kwa kuambiwa 'ameolewa na mkuu wa mkoa huo' Mrisho Gambo pic.twitter.com/ssMrgOgXLA
— millardayo (@millardayo) October 22, 2016
#MWANANCHI Rais Magufuli amesema Serikali haitawakopesha wanafunzi wenye uwezo kwa sababu mikopo hiyo ni kwa ajili ya watoto maskini pic.twitter.com/2nuTdQsfz0
— millardayo (@millardayo) October 22, 2016
#MTANZANIA Shule ya msingi Butwa ktk kisiwa cha Izumacheli Geita inakabiliwa na uhaba wa walimu wa kike kwa muda wa miaka 33 sasa pic.twitter.com/Md4iGbCo1w
— millardayo (@millardayo) October 22, 2016
#NIPASHE Gavana BoT, Prof.Ndulu awataja makondakta, wafanyabiashara wa masoko kuwa miongoni mwa wanaochangia uchakavu wa noti hasa za sh 500 pic.twitter.com/iOQZUxkC3m
— millardayo (@millardayo) October 22, 2016
#NIPASHE Imeelezwa kuwa kwa kipindi cha muongo mmoja theluthi moja ya Watanzania ni maskini wanaoishi ktk mazingira hatarishi pic.twitter.com/8dhQzl3Irm
— millardayo (@millardayo) October 22, 2016
#NIPASHE Mahakama Kisutu imeujia juu upande wa Jamhuri kutokana na kuchelewesha upelelezi kesi ya kamishna wa zamani TRA, Kitilya na wenzake pic.twitter.com/Jny9MDiXyu
— millardayo (@millardayo) October 22, 2016
#NIPASHE Wizara ya elimu imesema bil 1.3 zilizolipwa kwa wanafunzi hewa zimerudishwa na vyuo kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu pic.twitter.com/7nseavgzdG
— millardayo (@millardayo) October 22, 2016
#NIPASHE Wakazi 4,000 Mwanza wapinga kuondolewa eneo wanalodai wameishi zaidi ya miaka 70, baada ya TAA kudai ni sehemu ya uwanja wa ndege pic.twitter.com/riKkhIcf6u
— millardayo (@millardayo) October 22, 2016
#TanzaniaDAIMA Baada ya mkurugenzi Misungwi, Mwanza kudaiwa kumuamuru mwalimu kudeki darasa, TAMISEMI imesema inashughulikia suala hilo pic.twitter.com/6UaQAO01Qk
— millardayo (@millardayo) October 22, 2016
#TanzaniaDAIMA Ujenzi kituo kipya cha mabasi yaendayo mkoani na nchi jirani kinatarajiwa kujengwa July mwakani eneo la mbezi Luis DSM pic.twitter.com/q2AzwhdUXm
— millardayo (@millardayo) October 22, 2016
#HabariLEO Viwanda 22 kujengwa nchini na mifuko ya hifadhi ya jamii ikiwa ni utekelezaji wa mwito wa serikali kuwekeza ktk uchumi wa viwanda pic.twitter.com/um2LSfNZFt
— millardayo (@millardayo) October 22, 2016
#HabariLEO Jumla ya makubaliano 11 ya ushirikiano kusainiwa kati ya serikali ta Tanzania na Morocco wakati wa ziara ya Mfalme wa Morroco pic.twitter.com/ExNKg682Rt
— millardayo (@millardayo) October 22, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV/ OCTOBER 22 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI