Leo March 6, 2020 Mkuu wa jeshi la polisi Nchini Simon Sirro amesema huu ni mwaka wa Uchaguzi na hapendelei kuwapiga Watanzania mabomu na kuwataka Wanasiasa kufanya Siasa zao kwa kufuata utaratibu.
MBOWE AFUNGUKA “MEMBE ANA HAKI, ALIKUWA ADUI JANA LEO RAFIKI, HATUWEZI MKATAA”
MTENDAJI APONZWA NA MILIONI 32, TAKUKURU WAMDAKA “AMEHUJUMU UCHUMI”