Kumekua na Taarifa zilizosambaa kuanzia saa kadhaa zilizopita kwamba Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Dr. Laurian Ndumbaro.
IKULU imetoa taarifa jioni hii na kusema taarifa hizo sio za kweli vilevile Wananchi wazingatie kupokea taarifa sahihi kutoka kwenye mamlaka na vyombo rasmi vya serikali.
VIDEO: GARI LA IKULU LILIVYOTUMWA NA JPM MSIKITINI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA
VIDEO: AGIZO LA RAIS MAGUFULI KUHUSU MWANAMKE ALIENGUA KILIO MBELE YAKE, TAZAMA HAPA CHINI