Leo May 10, 2018 Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wameachiwa huru kutoka Gereza Kuu la Ruanda mkoani Mbeya ambapo walikuwa wanatumikia kifungo cha miezi 5.
Sugu amezungumza baada ya kufika nyumbani kwake ambapo amesema yeye mpaka sasa anatafakari kwa nini alifungwa na si kitu kingine, bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza na kumtazama.
Watu wa Mbeya walivyompokea Sugu katika ofisi ya CHADEMA