Wkati leo kila Mtu akiwa ametamba na Malkia wake, GSM group of companies nao wametamba na kuwaonesha sehemu ya Malkia wake wa nguvu ambao ni sehemu ya chachu ya maendeleo na ukuaji wa Makampuni yote yaliyochini ya GSM.
Makampuni ya GSM ambayo pia ni Mdhamini wa Club ya Yanga chini ya Mmiliki wake Ghalib Mohamed, yamejikita katika sekta mbalimbali Afrika ikiwemo usafirishaji, michezo, maduka ya nguo kupitia GSM Malls na Malls nyingine, uuzaji wa vifaa vya kielektroniki mfano bidhaa za HIER pamoja na Furniture za Majumbani na Maofisini.
View this post on Instagram