December 3, 2020 Shirika la Kimataifa la Wafanyakazi Duniani (ILO) limesema janga la COVID 19 limeawaathiri sana waajiriwa wenye mishahara midogo.
Kuepuka athari zaidi ILO imeshauri mishahara kurekebishwa mara kwa mara na vilevile kupandisha kima cha chini cha mshahara ili uendane na hali ya uchumi.
Wamesema kwa miaka kumi iliyopita ni 70% ya nchi ambazo takwimu zao wanazo ambao wamepandisha mishahara. Wamesema watu milioni 266 wanalipwa chini ya kiwango cha chini cha mshahara.
Hivyo wameshauri kiwango cha chini cha mshahara kuwekewa sera itakuza uzalishaji.
CHUMBA MAALUM ANACHOLALA RAIS “SIMU HAIINGII”