Ni Msanii Joseph Haule aka Prof.Jay ambae anasherehekea miaka sita ya ndoa yao na Mkewe Grace Mgongo ambayo ilifungwa katika Kanisa la Mtakatifu Joseph la Posta jijini Dar es salaam mnamo Jumamosi Julai 08, 2017.
Kwa stori kamili alichozungumza Professor Jay na Mkewe basi bonyeza play ufahamu zaidi.