Tanzania bado iko kwenye headlines za uchaguzi ambapo mpaka sasa wapo Wabunge kadhaa mwaka huu inawezekana tusiwaone kwenye Bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
August 03 Katibu wa Ccm wilaya ya Iramba kayatoa matokeo ya Jimbo hilo ambapo ameanza kwa kutoa idadi ya Wanachama wa Ccm wote 59,393,Kura zilizopigwa 33,825,kura zilizoharibika 367 na kura halali ni 33,452.
Mwigulu Lameck Nchemba amepata kura 28,778,Juma Hasani Kilimba 2375,David Kitundu Jairo 2064 na Amoni Julius Gyunda 241.
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos